SERIKALI YAKIFUNGA CHUO CHA MBEYA POLYTECNIC NI KWA KUDAHILI WANAFUNZI WASIO NA SIFA WAPATAO 270
Katibu mtendaji wa baraza la elimu ya ufundi( NACTE) amewasilisha tamko kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo akifunge Chuo cha Mbeya pilytechnic kwa kosa la KUDAHILI wanafunzi 270 wasiokuwa na SIFA kati ya wanafunzi 359 wa Chuo hicho .Ni wanafunzi 89 tu ndiyo wana sifa . Wanafunzi hao 270 walidahiliwa kwa ajili ya cheti na diploma ya kilimo wakiwa na ufaulu wa masomo ya sanaa na wengine wakiwa hawana ufaulu wowoteSababu nyingine ni Chuo kutokuwa na nitalala inliyoidhinishwa na wizara ya kilimoKufungwa kwa Chuo hicho kunafuatia malalamiko ya wanafunzi kwa Mkuu wa Mkoa wa mbeya yakiyiwasilishwa mei mwaka huu na mum kazini Mkuu wa Mkoa kuunda kamati iliyo ingiza na mkurugenzi wa NACTE kanda , afisa Elimu wa mkoa na maafisa toka ofisi ya Mkuu mkoa kuiwasilisha taarifa kwa Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa mkoa kuikabidhi kwa Katibu wa NECTA na baada ya kujiridhisha kuwa Chuo hicho nimefanya makosa na kuwasilisha tamko kwa Mkuu wa mkoa na kumuelekeza akifunge Chuo hicho rasmiMkuu wa mkoa leo ametoa tamko la kukifunga Chuo hicho na wanafunzi 89 wanahamishiwa Chuo cha Mbalizi polytechinicAidha Mkuu wa mkoa ameagiza ada zote zilizolipwa na wanafunzi warejeshewe kwa ajili ya kujiunga na vyuo vingine kwa sifa walizonazo na wakiohamishwa ada yao ipelekwe kwenye Chuo wakuvhohamishiwa wanafunzi haoAmeagiza jeshi la polisi, mmliki wa Chuo na timu iliyoundwa kuratibu na kutekeleza maagizo hayo kuanzia leo
No comments:
Post a Comment