=Ulaji na uzembe vinatajwa kubeba sehemu kubwa ya ripoti hii.
=Misamaha ya kodi 2014/15 ni asilimia 2 ya pato la taifa kinyume cha asilimia 1
=Halmashauri 40 hivi ndo zenye hati safi kati ya halmashauri zaidi ya 160
=Bidhaa a bilioni 9 za kupelekwa nje ziliuzwa hapa hapa nchini. Upigaji huo wa ukwepaji kodi.
=Bilioni za bilioni 89 za nje hakuna ushahidi kama zilienda rwanda, burundi na uganda.
=Rufaa za kodi nyingi mno zimedoda mahakamani na hivyo kuikosesha serikali kodi
=Deni la taifa juni 2015 trilioni 33.5.
=Ndani ya mwaka mmoja lilikuwa kwa trilioni 7!!!
=Malipo kwa deni kwa mwaka ni trilioni 4.
=Deni na mishahara inamaliza mapato yote ya taifa
=CAG anahoji, tutapata wapi pesa za maendeleo?
=Anataka maduka ya fedha za kigeni yadhibitiwe
=Vyama vya siasa, kimoja tu kimewasilisha hesabu.
=Vyama 21 bado, Msajili afiatilie. Hajakitaja chama kilichowasilisha
=Mishahara hewa taasisi 16. Ni bilioni 390
=Mishahara ambayo haikulipwa na haikurejeshwa hazina ni bilioni 2
=Milioni 700 za makato ya watumishi kwa katavi na kilimanjaro hayakuwasilishwa kwenye mifuko
=Sh milioni 827 za vifaa vya upigaji kura zilitumika kwa kazi isiyo na tija
=Nakala 158,003 hazikusambazwa kwa walengwa wakati wa kura za maoni
=Manunuzi ya bilioni 27 yalifanywa na mashirika ya Umma bila ushindani
=Cheti cha uendeshaji ATC kimeisha muda tangu 2010
=ATC ina Wafanyakazi wengi kuliko kazi zilizopo
Madudu bado yako mengi. Mi mpaka naumwa kichwa nikisoma na kuona watu walivyo kula pesa ya watanzania.
No comments:
Post a Comment