Monday, 25 April 2016

ZARI AFANYIWA MCHEZO MCHAFU,NI BAADA YA MREMBO KUDAIWA KUTEMBEA NA DIAMOND PLATINUMS

zariMpenzi wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’.
Stori: Waandishi Wetu, Wikienda
DAR ES SALAAM: Siri imefichuka! Sakata la muuza nyago (video queen) wa Bongo anayetajwa kwa jina moja la Irene a.k.a Lynn, anayedaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, limechukua sura mpya ikielezwa kuwa nyuma yake kuna mchezo mchafu anaofanyiwa mama mtoto wa msanii huyo, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’.
Imedaiwa kwamba, pamoja na Diamond kutumia nguvu kubwa kuwaaminisha mashabiki wake kuwa Irene ni mdogo wake bila kufafanua kivipi, bado madai kwamba anatoka naye yanazidi kushika kasi mithili ya moto wa kifuu huku yakiwa na ushabiki mkubwa katika mitandao ya kijamii.
Diamond-Platnumz
  • AMANI LAIBUA
    Mrembo huyo ametumiwa na kundi linalodaiwa ni Team Wema lenye lengo la kumaliza umalikia wa Zari kwa Diamond.
  • “….Kumbe Zari amefanyiwa mchezo mchafu….Irene amepandikizwa ili kumng’oa Zari kwenye himaya ya Chibu (Diamond).
  • ZARI ACHUKULIA POA
  • “Mwanzoni Zari alichukulia poa tu kama ilivyokuwa kwa Kajala (Masanja) lakini kuna siku alihakikishiwa kabisa kuwa yule mtoto (Irene) anatoka na Diamond.
  • “Nasikia palichimbika lakini mwisho wa yote Zari alitulia baada ya Diamond kumhakikishia kuwa Irene ni sawa na mdogo wake (lakini siyo wa kuzaliwa) ambaye Diamond anamsaidia kutokana na mazingira f’lanif’lani ya kifamilia.
12748166_487851264732614_598750759_n
Irene anayedaiwa ‘kutoka’ na Diamond.
  • ZARI ABAINI MCHEZO MCHAFU
  • Zari akasirika vibaya, aamua kutimkia Sauzi na Tiffah (mtoto wa Diamond, Latiffah Nasibu).
  • Inasemekana eti Esma Platnumz (mdogo wa Diamond) anaujua mchezo mzima.
  • Inawezekana Irene amepandikizwa na Team Wema.
  •  Team Wema wanaandaa pati ya kimyakimya ya kumpongeza Irene kwa kufanikiwa kumshikisha Zari adabu kwa Mond.
ESMA-(1)
Esma Platinumz
  • Diamond aendelea kusisitiza Irene ni mdogo wake.
  • Esma yeye anasemaje kuhusu tuhuma hizo za kufanikisha mchezo mchafu kwa wifi yake Zari?
  • Irene yeye anasemaje

No comments:

Post a Comment