Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Juliet Kairuki
NOTE: Hii ni kutoka mtandaoni...hatuna uthibitisho wa ukweli wake ....
"Huyu Julieth ni mke wa Dr.Kairuki Mkurugenzi wa Mikocheni Hospital.
Kabla ya kuja Tanzania alikua anafanya kazi South Afrika akilipwa
mshahara wa USD 15,000. JK ndiye aliyemkuta SA akamuomba arudi nchini
kuja kusaidia pale TIC baada ya Ole Naiko kustaafu. Kabla hajaja wakaset
T&C kuwa her salary wont go bellow 18M Tzs. Ikumbukwe SA alikua
akilipwa 15K USD equals to 35M Tzs. Kwahiyo
kukubali kulipwa 18M ni kukubali kusucrifice 17M kitu ambacho si rahisi
kwa watu wengi. Lakini she did that for the sake of her country. But
alipofika nchini TIC wakamwambia hawana scale ya 18M, wakataka kumlipa
5M. Huyu mama akakataa. She cant be that cheap kutoka mshahara wa 35M
kule SA hadi 5M? Akamwomba JK arudi SA kuendelea na kazi yake, lakini JK
akaagiza TIC wafanye salary review ili kuweza kuaccomodate madai yake.
Kipindi chote hicho alikua hapokei mshahara b'se alikua hajafikia
concesus na serikali. Sasa kabla TIC hawajakamilisha salary review ndio
JPM akawa ametake power. Akawa anadiscourage mishahara mikubwa kwa wakuu
wa mashirika ya umma. TIC wakaogopa kuendelea na review ya Kairuki.
Katika ufuatiliaji JPM akaambiwa kuna Mkurugenzi hajapokea mshahara
tangu 2013. Lakini informers wake they didnt nail the whole story. Wao
wakamwambia tu amekataa mshahara aliopangiwa anataka mkubwa zaidi na
marupurupu makubwa. JPM akahamaki na kutengua uteuzi without knowing the
truth. Hapa JPM kafanya kosa lakini simlaumu yeye, nalaumu informers
wake. Basing on the facts provided huyu mama kaonewa sana and worse
enough JPM hakumuita kumsikiliza. He just made decision basing from his
informers. This is typical injustice b'se principles of natural justice
were abandoned. Ni bora JK angemruhusu arudi SA kuendelea na kazi yake"
Barua ya uthibitisho wa utenguzo wa Bi. Juliet Kairuki
No comments:
Post a Comment