Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta April 16 2016 alipata nafasi ya kuanza na kucheza mechi kwa dakika 90 kwa mara ya kwanza akiwa na KRC Genk yaUbelgiji, Samatta ameanza na alifunga goli la uongozi kwa Genk dakika ya nane ya mchezo kwa mpira wa kichwa baada ya kutumia vyema krosi safi iliyotoka kwa nahodha wa Genk Thomas Buffel. Genk imeibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya
Zulte-Waregen
No comments:
Post a Comment