Friday, 22 April 2016

GARI LATEKETEA KWA MOTO - MWANZA

Gari aina ya Nissan Xtrail ikiteketea kwa moto eneo la Maliasili-Igogo jijini Mwanza,baada ya kutokea hitilafu kwenye mfumo wa umeme, hakuna aliyepoteza maisha.




No comments:

Post a Comment