BRIAN BEACON
ANAFAHAMIKA kama BRIAN BEACON ni muigizaji maarufu duniani aliyeigiza filamu ya YESU {jesus) .Alizaliwa mnamo tarehe 13 february mwaka 1946 mji wa OXFORD nchini UINGEREZA (U.K) Alijifunza sanaa katika chuo cha OXFORD YOUTH THEATRE cha humo humo nchini UINGEREZA ,amepata kuigiza filamu kama THE TRIPLE ECHO katika mwaka 1972, na miaka miwili baadae akafanya filamu inayofahamika kama VAMPYRES ambapo ilikuwa mwaka 1974, Lakini pia mwaka 1979 alifanya filamu ambayo ilikuwa gumzo DUNIA nzima filamu ya YESU (JESUS) hadi ikafikia watu wengi tukawa tunahisi ndiye yesu kweli kutokana na jinsi alivyovaa uhusika (character) .Na mnamo mwaka 1985 alicheza filamu ya A ZED AND TWO NOUGHTS.
No comments:
Post a Comment