Ni rahisi macho yako kukudanganya kuwa unamuangalia mwanamke halisi pale unapomuona Jia Jia.
Akipewa jina la ‘robot goddess’, Jia Jia ana sura na kila kitu kama binadamu wa kawaida kwa kutengenezwa kwa macho yanayocheza kama watu, akizungumza maneno yanaendana na mdomo unavyocheza na anamuita mwanaume aliyemtengeza Lord.
Roboti huyu ametengenezwa na Chen Xiaoping pamoja na wenzake wa chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha China.
Wakati wa utambulisho wake, Xiaoping alimsalimia roboti huyo naye akajibu: Yes my lord, what can I do for you?’ Iliwachukua miaka mitatu kumtengeneza roboti huyu anayeweza kuzungumza, kutembea na vitu vingine.
Tazama picha zake zaidi.
No comments:
Post a Comment