Mtandao wa Kinshasa-makomba.com umetoa shutuma kuwa mwimbaji Papa Wemba aliyefariki wiki iliyopita kwa kuangaka jukwani ghafla hakufariki kwa kifo cha kawaida bali amewekewa sumu kwenye mic aliyokuwa akiimbia..Mtandao huo umekwenda mbali zaidi na kuweka video ikionyesha tukio zima jinsi alivyobadilishiwa mic na kuwekewa yenye sumu....
https://youtu.be/JrrV8iWo5L0?t=73
No comments:
Post a Comment