Tatizo la usafirishaji wa dawa za kulevya linaendelea kuwa sugu licha ya jitihada kubwa zinazofanywa na mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania. Watanzania wengi wanatumikia vifungo mbalimbali kwenye magereza ya nje, hususan Hong Kong na China baada ya kukamatwa wakisafirisha dawa za kulevya. Hii ni barua ya ushuhuda wa dada mmoja Mtanzania ambaye amefungwa kwenye gereza mojawapo huko Hong Kong. Inasikitisha sana...
No comments:
Post a Comment