Baada ya muda mfupi wa rais kutangaza na kutahadharisha kuwa kuna wafanyabiashara wameficha Sukari, muda huu imeripotiwa kuwa huko Mbagala jijini Dar-es-Salaam kuna Sukari zaidi ya tani 4,900 zimekutwa kwenye ghala la mfanyabiashara mmoja. Hivyo imeelezwa kwamba zitachukuliwa hatua stahikidhidi ya huyo mfanyabiashara.
No comments:
Post a Comment