Friday, 20 May 2016

Dk John Pombe Magufuli kuamua kutengua uteuzi wa wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga.

Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kuamua kutengua uteuzi wa wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga.
Rais Magufuli amemfuta waziri Kitwanga kutokana na waziri huyo kuingia Bungeni kujibu swali linalohusu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.
barua

No comments:

Post a Comment