Rais Magufuli akiwasalimia wananchi wa Katesh, Mkoani Manyara Mei 6, 2016
Rais Magufuli akiwa njiani kuelekea mkoani Arusha ameongea na wananchi wa Katesh mkoani Manyara;Awatahadharisha wafanyabiashara wanaoficha sukari,Asema wanaingiza nchini sukari iliyomaliza muda wa matumizi (expire)Atadhibiti tatizo la sukari.Ataleta sukari ya kutosha kwa kushirikiana na Waziri mkuu.Asema atachukua sukari iliyofichwa na kugawa bure! Awaita wanaoficha sukari, wahujumu uchumi!
No comments:
Post a Comment