Rais wa Marekani Barack Obama akiwa ziarani nchini Vietnam alipata wasaa wa kula chakula cha usiku na Anthony Bourdain katika mgahawa wa Hanoi ambao ni wa kawaida sana nchini humo.
Rais Obama alinunua chakula cha dola 6 (Shilingi 13,197) na kushiriki chakula hicho na mpishi mashuhuri Anthony Bourdain siku ya Jumanne.
Tazama picha hizi Rais Obama akiburudika na bia na tambi.
No comments:
Post a Comment