Tuesday, 10 May 2016

MAJINA YA KASHFA YA KUFICHA FEDHA UGHAIBUNI (PANAMA PAPERS) YAWEKWA WAZI.

tz
Kashfa ya kuficha fedha ughaibuni (offshore) maarufu kama Panama Papers imechukua muelekeo mpya baada ya shirika la uandishi wa kiuchunguzi duniani (ICIJ) hii leo kuweka wazi majina na nchi za vigogo wanaohusika na kashfa hii. Kufahamu kuhusu wahusika Tanzania na nchi nyingine tazama hapa.
image
image

No comments:

Post a Comment