Saturday, 14 May 2016

YANGA YAKABIDHIWA UBINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Waziri na Kilimo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam baada ya mchezo dhidi ya Ndanda FC uliomalizika kwa sare ya 2-2
Wachezaji wa Yanga wakifurahia na Kombe lao jioni ya leo Uwanja wa Taifa

No comments:

Post a Comment