Friday, 27 May 2016

VIDEO: ALIYEKUWA MKUU WA MKOA AFUMANIWA AKIVINJARI NA MTOTO WA MKEWE

dadi-faki

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Dadi Faki Dadi amefumaniwa akijinjari na mtoto wa mke wake (mwanae wa kambo) mchana huu.
Baada ya kufumaniwa walimchukua na kumpeleka kituo cha polisi huku mama mtoto akiwa amekasirika kwa kitendo alichokifanya mume wake.
Zitazame hapa video 2 za hali ilivyokuwa.
Video Player
Video Player

No comments:

Post a Comment