Kikosi cha Simba SC kilichoitoa Zamarek ya Misri mwaka 2003
Nassoro, ambaye ana mtoto wake anayeishi Jijini Cairo nchini Misri, amesema Waarabu hao wanashangaa kutoiona Simba ikienda Misri tangu mara ya mwisho mwaka 2003 ilipoitoa Zamarek kwenye robo fainali ya klabu bingwa Barani Afrika, na wanauliza kama klabu hiyo imekufa.
Mwanachama huyo aliyekuwa akiongea kwa uchungu, ameutaka uongozi wa Simba ujiuzulu kwa kuwa umeshindwa kuindesha klabu hiyo kwa mafanikio.
No comments:
Post a Comment