HUYU NDIO BERNADETHA MSIGWA. ANAHITAJI MSAADA WENU ILI AWEZE KUONA TENA
BERNADETHA MSIGWA
Binti anayehitaji misaada yetu kwa hali na mali aweze kuona tena#KutoaNiMoyo huyu dada alikua anaona alianza kuumwa kichwa tuu baadae akawa haoni hivyo anahitaji kutibiwa chochote ulichonacho namba hiyo hapo.
No comments:
Post a Comment